KARIBU THAKA ISLAMIC DAY CARE...
- najjahislamicdayca
- Apr 12, 2022
- 1 min read

Mzazi/mlezi unakribishwa sana kumleta mtoto wako aje kupata masomo na malezi yaliyo bora.Tumeanza kuandikisha watoto wanaohitaji kupata elimu na malezi bora fika Thaka Islamic Day care mtaa wa Muhunda, kijiji cha Kibugumo Darajani katika wilaya ya Kigamboni.





Comments